Hamia kwenye habari

Egypt

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Misri

2017-06-18

MISRI

‘Ninatarajia Kuona Marufuku Isiyo ya Haki Ikiondolewa’

Miaka mingi iliyopita Mashahidi wa Yehova walifurahia uhuru wa ibada nchini Misri na walisajiliwa kuwa dini inayotambulika. Leo Mashahidi hawafurahii tena uhuru huo.