Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 154

Upendo Usioshindwa

Upendo Usioshindwa

(1 Wakorintho 13:8)

  1. 1. Hapa tulipo;

    Twaona upendo—

    Ulimwenguni haupo.

    Rafiki zetu

    Wote watupenda

    Ulimwengu twaepuka.

    (KIBWAGIZO)

    Upendo haushindwi.

    Wadumu milele.

    (KORASI)

    Upendo wake—

    Zawadi ya Mungu.

    Utu wake.

    Upendo wake—

    Ni uhai wetu.

    Upendo twasali

    Udumu Moyoni—

    Haushindwi.

  2. 2. Maisha yetu

    Yana matatizo

    Mikazo yatulemea

    Twapata shangwe

    Tunapohubiri

    Yehova anatutunza.

    (KIBWAGIZO)

    Upendo haushindwi.

    Wadumu milele.

    (KORASI)

    Upendo wake—

    Zawadi ya Mungu.

    Utu wake.

    Upendo wake—

    Ni uhai wetu.

    Upendo twasali

    Udumu Moyoni—

    (KORASI)

    Upendo wake—

    Zawadi ya Mungu.

    Utu wake.

    Upendo wake—

    Ni uhai wetu.

    Upendo twasali

    Udumu Moyoni—

    Haushindwi

    Haushindwi

    Haushindwi.