Taarifa Fupi—Venezuela
- 28,302,000—Idadi
- 134,096—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 1,700—Makutaniko
- 1 kwa 215—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA
Kumtumikia Yehova Licha ya Hali Ngumu Nchini Venezuela
Ndugu na dada zetu nchini Venezuela wanaendelea kuwa na bidii katika huduma na “wamekuwa chanzo cha faraja nyingi” kwa mmoja na mwenzake.
JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA
Kutoa Msaada Katika 2021—Hatuwaachi Ndugu na Dada Zetu
Katika mwaka wa 2021, nchi nyingi zilihitaji msaada, si wa kukabiliana na COVID-19 peke yake, bali pia misiba mingine mikubwa.
TAARIFA ZA HABARI
2021 Mwadhimisho wa Ukumbusho—Venezuela
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Katika Maamuzi Yangu Yote, Nilimtanguliza Yehova
Simulizi la maisha: Dyah Yazbek
TAARIFA ZA HABARI
Habari za Karibuni Kutoka Venezuela: Utendaji wa Kiroho Waongezeka Licha ya Changamoto
Licha ya hali ngumu, Mashahidi wa Yehova nchini Venezuela wanaendelea kushiriki huduma kwa ujasiri.