Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW Library kwa Ajili ya Vifaa vya AndroidTM

JW Library kwa Ajili ya Vifaa vya AndroidTM

JW Library ni programu rasmi iliyotayarishwa na Mashahidi wa Yehova. Inatia ndani tafsiri kadhaa za Biblia, pamoja na vitabu na broshua za kujifunzia Biblia.

 

 

Ni Nini Kipya

Julai 2023 (Toleo la 14)

  • Tayarisha orodha ya video za kucheza, rekodi za sauti, au picha. Unaweza kupunguza au kuongeza vitu ulivyoweka kwenye orodha hiyo, au kuvicheza kwenye tabo ya Funzo la Kibinafsi.

  • Sasa, jambo lolote unalonakili kwenye maswali ya chapisho la funzo au maelezo ya picha, litatokea katika mfuatano au mpangilio uleule wa habari unayosoma.

  • JW Library kwenye kifaa chako inaweza kutegemezwa na mfumo wa uendeshaji wa Android 7.0 au mfumo wa karibuni zaidi.

Aprili 2023 (Toleo la 13.5)

  • Matatizo kadhaa yametatuliwa, kutia ndani mambo yaliyokuwa yakifanya programu ijifunge.

TAARIFA: Hili ndilo toleo la mwisho linalotegemeza Android 5.1 na 6.0. Ili kupata matoleo ya wakati ujao ya JW Library, utahitaji kusasisha mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako.

Januari 2023 (Toleo la 13.4)

  • Sera ya Matumizi na Sera ya Faragha zimesasishwa.

  • Mipangilio ya Faragha sasa inakuwezesha kudhibiti taarifa unazotoa kuhusu tovuti na kurasa unazotembelea katika mtandao.

 

KATIKA SEHEMU HII

Anza Kutumia JW Library​—Android

Jifunze jinsi ya kutumia sehemu mbalimbali za JW Library kwenye vifaa vya Android.

Pakua na Utumie Biblia​—Android

Jifunze jinsi ya kupakua na kutumia Biblia kwenye JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Pakua na Utumie Machapisho​—Android

Jifunze jinsi ya kupakua na kutumia machapisho kwenye JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Tumia Alama za Kukumbuka Ukurasa​—Android

Jifunze jinsi ya kutumia alama za kukumbuka ukurasa kwenye programu ya JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Tumia Historia​—Android

Jifunze jinsi ya kutumia sehemu ya historia kwenye JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Panga Habari Kulingana na Mapendezi Yako​—Android

Jifunze jinsi ya kupanga habari kulingana na mapendezi yako kwenye JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Tafuta Katika Biblia au Chapisho​—Android

Jifunze jinsi ya kutafuta katika Biblia au chapisho, na jinsi ya kutafuta habari kuu kutoka kwenye Insight on the Scriptures katika JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Tia Alama Maandishi​—Android

Jifunze jinsi ya kutia alama maandishi kwenye JW Library katika vifaa vyenye mfumo wa Android.

Sakinisha JW Library Ikiwa Huwezi Kuipakua Kwenye (App Store) Ukitumia Kifaa cha Android

Ikiwa huwezi kusakinisha JW Library kwenye kifaa chako cha Android kutoka kwenye app store, unaweza kuipakua kwa kutumia JW Library Android Package Kit (APK), na kuisakinisha.

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Library (Android)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.