Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Msifu Yehova kwa Nguvu Zote

Msifu Yehova kwa Nguvu Zote

Pakua:

  1. 1. Ulipokuwa bado mdogo.

    Ulifanya uwezayo—

    Ulijibu na ukahubiri;

    Kusali hukusahau.

    (KIBWAGIZO)

    Majaribu nayo yakaja ulipokua,

    Na ghafula haikuwa rahisi kuhubiri tena.

    Unapoonyesha kwamba umeimarika,

    Mtegemee Yehova.

    Utathawabishwa.

    (KORASI)

    Unahitajika kutanikoni;

    Yupo na wewe.

    Una mengi ya kufanya, mambo mema.

    Yehova aona;

    Imani yako.

  2. 2. Unapambana na mabadiliko,

    Majaribu yanazidi.

    Wasiwasi na hofu zote—

    Mwambie husikiliza.

    (KIBWAGIZO)

    Unapokomaa, fanya maamuzi bora maishani

    Upate furaha tele.

    Unapoonyesha kwamba umeimarika,

    Mtegemee Yehova.

    Utathawabishwa.

    (KORASI)

    Unahitajika kutanikoni;

    Yupo na wewe.

    Una mengi ya kufanya, mambo mema.

    Yehova aona;

    Imani yako.

    (DARAJA)

    Msifu Yah kwa nguvu zote.

    Hutajutia; waulize wengine.

    (KORASI)

    Unahitajika kutanikoni;

    Yupo na wewe.

    Una mengi ya kufanya, mambo mema.

    Yehova aona;

    Imani yako.

    (DARAJA)

    Msifu Yah kwa nguvu zote.

    Hutajutia; waulize wengine.

    Msifu Yah kwa nguvu zote.

    Hutajutia; waulize wengine.