Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Wewe Ni Wangu

Wewe Ni Wangu

Pakua:

  1. 1. Wewe tu,

    Wangu wa pekee.

    Wewe tu,

    Sina mwingine.

    Sifa zako, nzuri—

    Zinanipendeza.

    Mungu wetu,

    Atatubariki.

    Pendo lako kwangu

    Hutuliza moyo.

    Unaniheshimu;

    Unanithamini.

    (KORASI)

    Tutakuwa na nguvu;

    Tukibaki pamoja.

    Yehova na awe nasi milele—

    We ni wangu.

  2. 2. Wewe ni wangu;

    Wanisikiliza.

    Kwa pamoja,

    Twamwabudu Mungu.

    Nahisi kupendwa

    Unanithamini.

    Milele ni wewe—

    Ninajivunia.

    (KORASI)

    Tutakuwa na nguvu;

    Tukibaki pamoja.

    Yehova na awe nasi milele—

    We ni wangu.

    Tutakuwa na nguvu;

    Tukibaki pamoja.

    Yehova na awe nasi milele—

    We ni wangu,

    We ni wangu,

    Wangu.