Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Subiri, Uchague kwa Hekima

Subiri, Uchague kwa Hekima

Pakua:

  1. 1. Mambo shwari, lakini nani,

    ‘Nitamuoa?’

    Sitaki kufanya uamuzi wa haraka.

    Ndoa yaweza leta shangwe au majonzi.

    Hisia za moyoni za ujana, hutoweka haraka.

    (KORASI)

    Subiri; ukisubiri.

    Utaona.

    Fikiri, na tafuta vizuri,

    Kweli, ‘Ndiye atanifa’?’

    Pengine, ukisubiri tu.

    Uchague.

  2. 2. Nilitaka mtu wa kunijali, atakayenipenda.

    Na nilijua moyoni haiwezekani.

    Ninataka Neno la Yehova.

    Liniongoze.

    Ninasubiri nimpate mwenzi atakayenifaa.

    (KORASI)

    Subiri; ukisubiri.

    Utaona.

    Fikiri, na tafuta vizuri,

    Kweli, ‘Ndiye atanifa’?’

    Pengine, ukisubiri tu.

    Uchague.

    Uchague.